21 Hesroni alipokuwa na umri wa miaka sitini, alimwoa binti Makiri, dada yake Gileadi. Huyo alimzalia mwana jina lake Segubu.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 2
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 2:21 katika mazingira