1 Mambo Ya Nyakati 2:23 BHN

23 Lakini falme za Geshuri na Aramu ziliwashambulia na kuwanyanganya miji ya Haroth-yairi, Kenathi na vijiji vyake, jumla miji sitini. Hao wote walikuwa wazawa wa Makiri, baba yake Gileadi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 2

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 2:23 katika mazingira