1 Mambo Ya Nyakati 2:26 BHN

26 Yerameeli alikuwa na mke mwingine jina lake Atara. Huyu alimzalia Yerameeli mwana, jina lake Onamu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 2

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 2:26 katika mazingira