4 Baada ya hayo, kulitokea vita na Wafilisti huko Gezeri. Sibekai, Mhushathi, akamuua Sipai aliyekuwa mmojawapo wa wazawa wa Warefai; hivyo Wafilisti wakawa wameshindwa.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 20
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 20:4 katika mazingira