13 Ukiwa mwangalifu, na ukizitii amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimwagiza Mose juu ya Israeli, utastawi. Jipe moyo, uwe imara. Usiogope wala usifadhaike.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 22
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 22:13 katika mazingira