1 Mambo Ya Nyakati 22:2 BHN

2 Daudi akatoa amri wageni waliokuwa wanaishi katika nchi ya Israeli wakusanyike, naye akawapangia kazi. Akaweka waashi wachonge vizuri mawe ya kujenga nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 22

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 22:2 katika mazingira