1 Mambo Ya Nyakati 23:22 BHN

22 Eleazari alifariki bila kupata mtoto wa kiume, ila mabinti tu. Mabinti hao waliolewa na binamu zao, wana wa Kishi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 23

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 23:22 katika mazingira