28 Lakini wajibu wao ulikuwa ni kuwasaidia makuhani wa ukoo wa Aroni katika huduma ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu; kuzitunza nyua na vyumba, kuvisafisha vyombo vitakatifu vyote na kufanya kazi zinazohusu huduma ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 23
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 23:28 katika mazingira