1 Mambo Ya Nyakati 23:6 BHN

6 Daudi aliwagawanya Walawi katika makundi matatu kulingana na koo za kabila la Lawi: Ukoo wa Gershoni, ukoo wa Kohathi na ukoo wa Merari.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 23

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 23:6 katika mazingira