19 Hawa waliandikishwa kulingana na kazi zao kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kutoa huduma, kadiri ya utaratibu waliowekewa na Aroni babu yao, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 24
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 24:19 katika mazingira