3 Mfalme Daudi aliwapanga wazawa wa Aroni katika makundi kufuatana na huduma zao. Alisaidiwa kufanya hivyo na Sadoki, mzawa wa Eleazari, na Ahimeleki, mzawa wa Ithamari.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 24
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 24:3 katika mazingira