1 Mambo Ya Nyakati 24:5 BHN

5 Waligawanywa kwa kura kwani kulikuwa na wakuu wa mahali patakatifu na viongozi wa kidini miongoni mwa koo zote mbili, yaani ukoo wa Eleazari na ukoo wa Ithamari.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 24

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 24:5 katika mazingira