11 ya 4 ilimwangukia Seri pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
12 ya 5 Nethania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
13 ya 6 Bukia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
14 ya 7 Asharela; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
15 ya 8 Yeshaya; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
16 ya 9 Matania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
17 ya 10 Shimei; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;