17 ya 10 Shimei; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
18 ya 11 Azareli; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
19 ya 12 Hashabia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
20 ya 13 Shebueli; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
21 ya 14 Matithia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
22 ya 15 Yeremothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
23 ya 16 Hanania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;