22 ya 15 Yeremothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
23 ya 16 Hanania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
24 ya 17 Yoshbekasha; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
25 ya 18 Hanani; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
26 ya 19 Malothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
27 ya 20 Eliatha; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
28 ya 21 Hothiri; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;