3 Wana sita wa Yeduthuni: Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia na Matithia. Wao walikuwa chini ya uongozi wa baba yao; na walitabiri kwa kutumia vinubi, na wakamshukuru na kumtukuza Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 25
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 25:3 katika mazingira