1 Mambo Ya Nyakati 25:6 BHN

6 Wanawe wote walipiga muziki kwa matoazi, vinanda na vinubi, kwenye ibada katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu wakiwa chini ya uongozi wa baba yao. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya amri ya mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 25

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 25:6 katika mazingira