1 Mambo Ya Nyakati 26:14 BHN

14 Kura ya kuchagua wa kulinda lango la mashariki ilimwangukia Shelemia. Walipiga kura pia kwa ajili ya mwanawe Zekaria, aliyekuwa mshauri mwenye busara, ikamwangukia kura ya lango la kaskazini.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 26

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 26:14 katika mazingira