1 Mambo Ya Nyakati 26:26 BHN

26 Shelomithi na ndugu zake, ndio waliokuwa waangalizi wa hazina zote za vitu vilivyowekwa wakfu na mfalme Daudi, na viongozi wa jamaa, maofisa wa maelfu na mamia na majemadari wa jeshi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 26

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 26:26 katika mazingira