1 Mambo Ya Nyakati 27:7 BHN

7 Asaheli, nduguye Yoabu, alikuwa wa nne akiongoza kundi la nne lenye wanajeshi 24,000, na baada yake alimfuata Zebadia mwanawe.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 27

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 27:7 katika mazingira