1 Mambo Ya Nyakati 28:14 BHN

14 Alimpa kiasi cha dhahabu iliyohitajika kutengenezea vyombo vyote vya dhahabu vya utumishi wa kila namna, kiasi cha fedha iliyohitajika kwa utumishi wa kila namna,

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 28

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 28:14 katika mazingira