1 Mambo Ya Nyakati 29:11 BHN

11 Ukuu ni wako, ee Mwenyezi-Mungu, una nguvu, utukufu, ushindi na enzi. Vyote vilivyoko mbinguni na duniani ni vyako. Ee Mwenyezi-Mungu, ufalme ni wako, nawe umetukuzwa, u mkuu juu ya vitu vyote.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 29

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 29:11 katika mazingira