1 Mambo Ya Nyakati 29:16 BHN

16 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, wingi wote huu tuliotoa ili kukujengea nyumba kwa ajili ya utukufu wa jina lako takatifu, watoka mkononi mwako na yote ni yako.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 29

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 29:16 katika mazingira