27 Na muda aliotawala juu ya Israeli ulikuwa miaka arubaini; miaka saba alitawala huko Hebroni na miaka thelathini na mitatu alitawala huko Yerusalemu.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 29
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 29:27 katika mazingira