29 Habari za mfalme Daudi toka mwanzo hadi mwisho, zimeandikwa katika kumbukumbu za Samueli mwonaji, katika kumbukumbu za nabii Nathani na katika kumbukumbu za Gadi mwonaji.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 29
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 29:29 katika mazingira