1 Mambo Ya Nyakati 29:5 BHN

5 na kwa ajili ya kutengenezea vitu vya kila aina vitakavyotengenezwa na mafundi kwa mikono. Nimeweka dhahabu kwa ajili ya vyombo vya dhahabu, na fedha kwa ajili ya vyombo vya fedha. Ni nani basi atakayemtolea Mwenyezi-Mungu kwa hiari ili ajiweke wakfu hivi leo kwa Mwenyezi-Mungu?”

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 29

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 29:5 katika mazingira