21 Wana wa Hanania walikuwa Pelatia na Yeshaya. Yeshaya alimzaa Refaya, aliyemzaa Arnani, aliyemzaa Obadia, aliyemzaa Shekania.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 3
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 3:21 katika mazingira