5 Wafuatao ni wana wa mfalme Daudi alipokuwa Yerusalemu: Mkewe Bathshua, bintiye Amieli, alimzalia wana wanne: Himea, Shobabu, Nathani na Solomoni.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 3
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 3:5 katika mazingira