1 Mambo Ya Nyakati 4:19 BHN

19 Hodia alimwoa dada yake Nahamu ambaye wazawa wake ndio waanzilishi wa kabila la Garmi, lililoishi katika mji wa Keila, na kabila la Maakathi, lililoishi katika mji wa Eshtemoa.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 4:19 katika mazingira