1 Mambo Ya Nyakati 4:38 BHN

38 Jamaa zao waliendelea kuongezeka kwa wingi sana. Hawa waliotajwa majina ni wakuu katika jamaa zao na koo zao ziliongezeka sana.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 4:38 katika mazingira