42 Watu wengine wa kabila la Simeoni wapatao 500 walikwenda mpaka kwenye mlima Seiri. Waliongozwa na Pelatia, Nearia, Refaya na Uzieli, wana wa Ishi.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 4
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 4:42 katika mazingira