10 Katika siku za mfalme Shauli, kabila la Reubeni lilizusha vita dhidi ya Wahajiri, wakawaua vitani na kuitwaa ardhi yao yote mashariki mwa Gileadi, wakaishi humo.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 5
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 5:10 katika mazingira