1 Mambo Ya Nyakati 5:12 BHN

12 Yoeli ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa ukoo ulioongoza, wa pili Shafamu. Yanai na Shefati walikuwa waanzilishi wa koo nyingine huko Bashani.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 5

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 5:12 katika mazingira