23 Watu wa Manase ya mashariki waliishi katika nchi ya Bashani. Idadi yao iliongezeka kwa wingi sana, wakasambaa upande wa kaskazini hadi Baal-hermoni, Seniri na mlima Hermoni.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 5
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 5:23 katika mazingira