1 Mambo Ya Nyakati 6:10 BHN

10 na Yohanani akamzaa Azaria. (Azaria ndiye aliyefanya kazi ya ukuhani katika hekalu alilojenga mfalme Solomoni huko Yerusalemu).

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 6:10 katika mazingira