1 Mambo Ya Nyakati 6:15 BHN

15 Yehosadaki alikwenda uhamishoni wakati Mwenyezi-Mungu alipowapeleka uhamishoni watu wa Yuda na Yerusalemu kwa kuutumia mkono wa mfalme Nebukadneza.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 6:15 katika mazingira