1 Mambo Ya Nyakati 6:26 BHN

26 Na hawa ndio wazawa wa Ahimothi: Ahimothi alimzaa Elkana, Elkana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi,

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 6:26 katika mazingira