1 Mambo Ya Nyakati 6:60 BHN

60 Katika eneo la kabila la Benyamini walipewa miji ya Geba, Alemethi na Anathothi pamoja na malisho ya miji hiyo. Miji yote waliyopewa kulingana na jamaa zao ilikuwa kumi na mitatu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 6:60 katika mazingira