1 Mambo Ya Nyakati 6:65 BHN

65 (Miji iliyotajwa majina hapa juu katika kabila la Yuda, na katika kabila la Simeoni na katika kabila la Benyamini iligawiwa kabila la Lawi kwa kura.)

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 6

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 6:65 katika mazingira