11 Wote hawa walikuwa wakuu wa jamaa katika koo zao na askari mashujaa wa vita. Kutokana na wazawa wao, kulipatikana wanaume 178,200, wanajeshi hodari tayari kabisa kwa vita.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 7
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 7:11 katika mazingira