15 Makiri aliwazaa Hupimu na Shupimu. Jina la dada yake lilikuwa Maaka. Mwana wa pili wa Makiri alikuwa Selofehadi. Selofehadi alikuwa na mabinti peke yake.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 7
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 7:15 katika mazingira