32 Heberi alikuwa na wana watatu: Yafleti, Shomeri na Hothamu, na binti mmoja jina lake Shua.
33 Yafleti pia alikuwa na wana watatu: Pasaki, Bimhali na Ashvathi.
34 Shemeri, nduguye, alikuwa na wana watatu: Roga, Yehuba na Aramu.
35 Na Helemu, ndugu yake mwingine, alikuwa na wana wanne: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali.
36 Wana wa Sofa walikuwa Sua, Harneferi, Shuali, Beri, Imra,
37 Bezeri, Hodu, Shama, Shilsha, Ithrani na Beera.
38 Wana wa Yetheri walikuwa Yefune, Pispa na Ara.