14 Nao Ahio, Shashaki, Yeremothi,
15 Zebadia, Aradi, Ederi,
16 Mikaeli, Ishpa na Yoha ni wazawa wengine wa Beria.
17 Zebadia, Meshulamu, Hizki, Heberi,
18 Ishnerai, Izlia na Yobabu walikuwa wazawa wa Epaali.
19 Yakimu, Zikri, Zabdi,
20 Elienai, Zilethai, Elieli,