17 Zebadia, Meshulamu, Hizki, Heberi,
18 Ishnerai, Izlia na Yobabu walikuwa wazawa wa Epaali.
19 Yakimu, Zikri, Zabdi,
20 Elienai, Zilethai, Elieli,
21 Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wazawa wa Shimei.
22 Ishpani, Eberi, Elieli,
23 Abdoni, Zikri, Hanani,