19 Yakimu, Zikri, Zabdi,
20 Elienai, Zilethai, Elieli,
21 Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wazawa wa Shimei.
22 Ishpani, Eberi, Elieli,
23 Abdoni, Zikri, Hanani,
24 Hanania, Elamu, Anthothiya,
25 Ifdeya na Penueli walikuwa wazawa wa Shashaki.