1 Mambo Ya Nyakati 8:33 BHN

33 Neri alimzaa Kishi, Kishi akamzaa Shauli. Shauli alikuwa na wana wanne: Yonathani, Malki-shua, Abinadabu na Eshbaali.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 8

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 8:33 katika mazingira