1 Mambo Ya Nyakati 8:36 BHN

36 Ahazi alimzaa Yehoada. Naye Yehoada aliwazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri. Zimri alimzaa Mosa.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 8

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 8:36 katika mazingira