1 Samueli 1:13 BHN

13 Hana alikuwa akiomba kimoyomoyo, lakini midomo yake ilikuwa inachezacheza, ila sauti yake haikusikika. Hivyo Eli akafikiri kuwa Hana amelewa.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:13 katika mazingira