1 Samueli 1:26 BHN

26 Hana akamwambia, “Ee bwana wangu, kama iishivyo roho yako, bwana wangu, mimi ndimi yule mwanamke aliyekuwa anasimama mbele yako akimwomba Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:26 katika mazingira