1 Samueli 10:1 BHN

1 Ndipo Samueli akachukua chupa ndogo ya mafuta akammiminia Shauli kichwani, akambusu na kumwambia, “Mwenyezi-Mungu amekutia mafuta uwe mtawala juu ya watu wake.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:1 katika mazingira